About Us

Tovuti hii imelenga katika kutoa elimu kwa njia ya uchambuzi na makala fupi kuhusu sheria na taratibu za kuzingatia kwenye manunuzi ya umma, hususan nchini Tanzania.

Ni sehemu ambayo wadau wote wa manunuzi ya umma ikiwa ni pamoja na wananchi kwa ujumla wanaweza kupata elimu na kuongeza ufahamu kuhusu sheria, taratibu na mapendekezo ya namna nzuri zaidi ya kupata thamani bora ya fedha.

Muandishi wa tovuti hii ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anayechukua shahada ya uzamili ya uandishi wa habari na utangazi. Pia, ni mdau katika manunuzi ya umma.

Kwa mawasiliano:

Baruapepe: josefly2017@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

Mzabuni zingatia haya unapojaza nyaraka za zabuni, wengi hukosa kwa vigezo hivi

Marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma Yanavyochagiza Tanzania ya Viwanda

Hatua anazopaswa kuchukua mzabuni asiyeridhishwa na mchakato wa utoaji zabuni